Pwani FM Description
Pwani FM is located in Sauti Hse, Miji Mipya/Gonyo Rd. For more information about Pwani FM see the contacts below:
Presenters
Tima Kisasa
Tima ni mwanahabari ambaye talanta yake ilimchochea kuacha ‘Pharmacy,’ kazi aliyesomea hadi studioni. Wasikilizaji wake wanamtambua kwa kuwafahamisha yaliyojiri.
Munga
Ken 1GB
Joshua Chome
Anasimamia kitengo cha habari na asema kuwa kazi hiyo humuacha hoyi kwa sababu inamsaidia kuuanganisha wasikilizaji wake na dunia nzima.
Josephine Medza
Medza ni mchezaji wa mpira wa mikono anayesema wengi hawamini anaweza kucheza vyema japo kimo chake. Anatambulika na wasikilizaji wake
Gasper Tumaini
Mhariri na hauwezi kumtenganisha na kazi yake ya kusimamia habari za alfajir hadi jioni. Anajulikana na mashabiki wake wa kipindi
David Mwaringa
Mwaringa ni muugizaji(actor), MC na Msanii wa Mijikenda single Hit ‘Dama.’ Aliimba kibao hiki baada ya kutorokwa na mpenzi wake
Dalila Athman
Collins Adede
Collins Adede ni mwanahabari mtangazazi wa kipindi cha Uchambuzi wa magazeti na vile vile ni rubani wa kipindi cha Reggaeblast
Pwani FM
Pwani FM Contacts
Business Name: Pwani FM
Business Category: Broadcasting Companies
Address: P.O.Box: 82006-80100 Mombasa
City/Town: Mombasa
County: Mombasa
Country: Kenya
Phone Number: +254-412224903
Fax:
Mobile Number:
Email Address:
Website: