Piotr z San Gemini’s biography, fact, career, awards, net worth and life story

Is Priest
From Italy
Morocco
Type Religion
Gender male
Birth

San Gemini, Italy

Death

Marrakesh, Morocco

Pietro wa San Gemini alizaliwa katika kijiji hicho cha Italia ya kati, akafia dini ya Ukristo huko Morocco pamoja na Ndugu Wadogo wenzake Berardo, Oto, Akursius na Adiutus.

Ndio Wafransisko wafiadini wa kwanza. Aliposikia habari zao, Fransisko wa Asizi alishangilia, “Sasa kweli naweza kusema nina Ndugu Wadogo watano”.

Wote wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama watakatifu, hasa tangu mwaka 1481 walipotangazwa na Papa Sixtus IV.

Sikukuu yao ni tarehe 16 Januari, siku ya kifodini chao mwaka 1220.

Tazama pia

  • Watakatifu wa Agano la Kale
  • Orodha ya Watakatifu Wakristo
  • Orodha ya Watakatifu wa Afrika
  • Orodha ya Watakatifu Wafransisko

Viungo vya nje

  • (Kiitalia) Santi Berardo, Otone, Pietro, Accursio e Adiuto Protomartiri dell’Ordine dei Frati Minori
  • (Kijerumani) Antonius von Padua – mentioned in the entry for Saint Anthony
  • Catholic Encyclopedia article
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Petro wa San Gemini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
You May Also Like