Joyce Omondi’s Sitaogopa Lyrics

[CHORUS] Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote

[VERSE] Ninakungoja Yesu, njoo
Unionekanie
Naona ukitembelea wengine
Naomba, unikumbuke pia
Kwa nguvu zangu nimeshindwa
Niwezeshe nikutazamie
Mfalme wa amani
Ngao tena mlinzi
Nishikilie nisimame

[CHORUS] Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote
Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote

[BRIDGE] Vita utanipigania nitainuka
Na ushindi utanipa nitasimama
Vita utanipigania nitapaa
Na ushindi utanipa
Vita utanipigania nitainuka
Na ushindi utanipa nitasimama
Vita utanipigania nitapaa
Na ushindi utanipa

[CHORUS] Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote
Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote
Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote

You May Also Like