| Intro | Politicus uit Tanzania |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
| Birth | 23 November 1965 |
| Age: | 54 years |
| Politics | Party of the Revolution |
Japhet Ngailonga Hasunga (amezaliwa 23 Novemba 1965) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha [[Chama Cha Mapinduzi] (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viwawa kwa miaka 2015 – 2020.