Efraim Ezekiel’s Katikati ya Miungu Lyrics

Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe Mungu kama wewe
Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe 
Mungu kama wewe Mungu kama wewe
Baba 
Yesu
Baba 
Yesu 
Roho 

Katika ya mataifa yote sijaona Mungu kama wewe

Katika ya masitu yote sijaona mtenda miujiza kama wewe

Hakuna kama wewe Mungu wa Eliya Ooh
Hakuna kama wewe Mungu wa Isaka Ooh
Mungu wa Danieli Hakuna kama wewe

You May Also Like